وَوُجُوهٞ يَوۡمَئِذِۭ بَاسِرَةٞ ٢٤
Wawujūhun yawma'idhi bāsirah
Na zipo nyuso siku hiyo zitakao kunjana. 24
Maelezo ya chini
24 Na nyuso nyengine zitakuwapo zimenuna, zimekunjana mno, zinangojea zitendewe jambo ambalo kwa kitisho chake linavunja uti wa mgongo.