وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٖ نَّاضِرَةٌ ٢٢
Wujūhun yawma'idhin nādirah
Zipo nyuso siku hiyo zitao ng'ara, 22
Maelezo ya chini
22 Siku hiyo zitakuwapo nyuso nzuri, zenye kumwangalia Mola wao Mlezi bila ya kusema kwa sifa gani, wajihi gani, au masafa gani.