Surat Al-Qamar, aya 8

54:8

مُّهۡطِعِينَ إِلَى ٱلدَّاعِۖ يَقُولُ ٱلۡكَٰفِرُونَ هَٰذَا يَوۡمٌ عَسِرٞ ٨

Mmuhti'īna ilad-dā'i yaqūlul-kāfirūna hādhā yawmun 'asir

Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii ni siku ngumu. 8

Maelezo ya chini

8 Wakimkimbilia huyo mwitaji, wakimtazama kwa unyonge na unyenekevu, macho yao yanamwangalia yeye tu. Makafiri watasema Siku ya Kiyama: Hii leo ni siku nzito, siku ya shida!