Surat Al-Qamar, aya 50

54:50

وَمَآ أَمۡرُنَآ إِلَّا وَٰحِدَةٞ كَلَمۡحِۭ بِٱلۡبَصَرِ ٥٠

Wamā amrunā illā wāhidatun kalamhi bil-basar

Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho. 50

Maelezo ya chini

50 Na haikuwa amri yetu tukitaka kitu ila neno moja tu, nalo ni kusema: "Kuwa", nacho huwa, papo hapo kama kupepesa kwa jicho.