وَلَقَدۡ أَهۡلَكۡنَآ أَشۡيَاعَكُمۡ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ٥١
Walaqad ahlaknā ashyā'akum fahal mim muddakir
Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka? 51
Maelezo ya chini
51 Na bila ya shaka Sisi tumekwisha waangamiza wengine walio fanana nanyi katika ukafiri. Je! Yupo aliye waidihika?