Surat Al-Qamar, aya 49

54:49

إِنَّا كُلَّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَٰهُ بِقَدَرٖ ٤٩

Innā kulla shay'in khalaqnāhu biqadar

Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo. 49

Maelezo ya chini

49 Hakika Sisi tumeumba kila kitu. Tumeviumba kwa kukadiria inavyo hitajia hikima.