تَنزِعُ ٱلنَّاسَ كَأَنَّهُمۡ أَعۡجَازُ نَخۡلٖ مُّنقَعِرٖ ٢٠
Tanzi'un-nāsa ka annahum a'jāzu nakhlim munqa'ir
Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende vilio ng'olewa. 20
Maelezo ya chini
20 Ukiwang'oa watu na kuwatupa nao wamekufa, kama vinavyo ng'olewa vigogo vya mitende na mizizi yake.