Surat Al-Qamar, aya 12

54:12

وَفَجَّرۡنَا ٱلۡأَرۡضَ عُيُونٗا فَٱلۡتَقَى ٱلۡمَآءُ عَلَىٰٓ أَمۡرٖ قَدۡ قُدِرَ ١٢

Wafajjarnal-arda 'uyūnan fal-taqal-mā'u 'alā amrin qad qudir

Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa. 12

Maelezo ya chini

12 Na tukaipasua ardhi kwa chemchem zikitibuka maji. Yakakutana maji ya mbinguni na maji ya ardhi kuwahiliki, kama alivyo kadiria Mwenyezi Mungu Mtukufu.