وَحَمَلۡنَٰهُ عَلَىٰ ذَاتِ أَلۡوَٰحٖ وَدُسُرٖ ١٣
Wahamalnāhu 'alā dhāti alwāhin wadusur
Na tukamchukua kwenye safina ya mbao na kamba. 13
Maelezo ya chini
13 Tukampakia Nuhu katika jahazi la mbao zinazo fungwa pamoja kwa kamba, kama mtepe.