فَٱسۡجُدُواْۤ لِلَّهِۤ وَٱعۡبُدُواْ۩ ٦٢
Fasjudū lillāhi wa'budū
Basi msujudieni Mwenyezi Mungu, na mumuabudu. 62
Maelezo ya chini
62 Basi msujudieni Mwenyezi Mungu aliye iteremsha Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu wote, na muabuduni Yeye tu peke yake Mwenye kutukuka kwa utukufu wake.