أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ أَجۡرٗا فَهُم مِّن مَّغۡرَمٖ مُّثۡقَلُونَ ٤٦
Am tas'aluhum ajran fahum mim maghramim muthqalūn
Au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo? 46
Maelezo ya chini
46 Kwani wewe unawaomba ujira kwa kuufikisha Ujumbe wako, na kwa hivyo wao wanaona uzito kwa gharama hiyo unayo wakalifisha?