Surat Al-Qalam, aya 45

68:45

وَأُمۡلِي لَهُمۡۚ إِنَّ كَيۡدِي مَتِينٌ ٤٥

Wa umlī lahum inna kaydī matīn

Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara. 45

Maelezo ya chini

45 Na nitawapa muhula kwa kuiakharisha adhabu. Hakika mipango yangu ni ya nguvu, na hawezi kuporonyoka yeyote akasalimika nayo.