Surat Al-Qalam, aya 47

68:47

أَمۡ عِندَهُمُ ٱلۡغَيۡبُ فَهُمۡ يَكۡتُبُونَ ٤٧

Am 'indahumul-ghaybu fahum yaktubūn

Au iko kwao siri, basi wao wanaiandika? 47

Maelezo ya chini

47 Au kwani wao wanajua yaliyo fichikana na wao wanayaandika na ndio wanahukumu kwa hayo?