Surat Al-Qalam, aya 2

68:2

مَآ أَنتَ بِنِعۡمَةِ رَبِّكَ بِمَجۡنُونٖ ٢

Mā anta bini'mati rabbika bimajnūn

Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu. 2

Maelezo ya chini

2 Hakika wewe, na Mwenyezi Mungu amekuneemesha kwa kukupa Unabii, si mchachefu wa akili, wala mpumbavu wa mawazo.