Surat Al-Qalam, aya 3

68:3

وَإِنَّ لَكَ لَأَجۡرًا غَيۡرَ مَمۡنُونٖ ٣

Wa inna laka la ajran ghayra mamnūn

Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika. 3

Maelezo ya chini

3 Na hakika unapata thawabu kubwa zisio katika kwa ajili ya kufikisha Ujumbe.