نٓۚ وَٱلۡقَلَمِ وَمَا يَسۡطُرُونَ ١
Nūn wal-qalami wamā yasturūn
Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo! 1
Maelezo ya chini
1 Nuun, ndio harufi ya N, iliyo anzia Sura hii ni kama kupinzana na hao wanao kadhibisha, na ili kuwazindua wenye kusadiki. Naapa kwa kalamu wanayo andikia Malaika na wenginewe, na hayo mambo ya kheri na manufaa wanayo yaandika,