عُتُلِّۭ بَعۡدَ ذَٰلِكَ زَنِيمٍ ١٣
'Utulli ba'da dhālika zanīm
Mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu. 13
Maelezo ya chini
13 Mgumu wa moyo, mwenye tabia ya ukavu, muovu maarufu kwa shari, juu ya sifa hizo mbovu alizo nazo.