أَن كَانَ ذَا مَالٖ وَبَنِينَ ١٤
An kāna dhā mālin wabanīn
Ati kwa kuwa ana mali na watoto! 14
Maelezo ya chini
14 Ati kwa kuwa anajiona yeye ana mali na watoto wengi! Amezikadhibisha Aya zetu na amezipuuza.
أَن كَانَ ذَا مَالٖ وَبَنِينَ ١٤
An kāna dhā mālin wabanīn
Ati kwa kuwa ana mali na watoto! 14
14 Ati kwa kuwa anajiona yeye ana mali na watoto wengi! Amezikadhibisha Aya zetu na amezipuuza.