Surat Al-Mutaffifin, aya 7

83:7

كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡفُجَّارِ لَفِي سِجِّينٖ ٧

Kallā inna kitābal-fujjāri lafī sijjīn

Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin. 7

Maelezo ya chini

7 Wacheni kupunja, na kughafilika na kufufuliwa! Kwani hakika waliyo andikiwa wakosefu katika a'mali zao mbovu, bila ya shaka yamo katika Sijjin.