هَلۡ ثُوِّبَ ٱلۡكُفَّارُ مَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ ٣٦
Hal thuwwibal-kuffāru mā kānū yaf'alūn
Je! makafiri wamelipwa malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda? 36
Maelezo ya chini
36 Je! Makafiri watalipwa huko Akhera kwa waliyo yatenda duniani?