وَإِذَا كَالُوهُمۡ أَو وَّزَنُوهُمۡ يُخۡسِرُونَ ٣
Wa idhā kālūhum aw wazanūhum yukhsirūn
Na wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza. 3
Maelezo ya chini
3 Na wakiwapimia watu kwa vipimo au mizani huwapunguzia haki yao wanayo stahiki, kwa dhulma!