Surat Al-Mutaffifin, aya 4

83:4

أَلَا يَظُنُّ أُوْلَٰٓئِكَ أَنَّهُم مَّبۡعُوثُونَ ٤

Alā yazunnu ulā'ika annahum mab'ūthūn

Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa . 4

Maelezo ya chini

4 Hivyo haiwapitikii katika akili zao hawa wanao punja wenzao kwamba watakuja fufuliwa,