Surat Al-Mutaffifin, aya 2

83:2

ٱلَّذِينَ إِذَا ٱكۡتَالُواْ عَلَى ٱلنَّاسِ يَسۡتَوۡفُونَ ٢

Alladhīna idhaktālū 'alan-nāsi yastawfūn

Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe. 2

Maelezo ya chini

2 Ambao wakijipimia wenyewe kwa watu hujitwalia ya kutosha na kuzidi,