Surat Al-Mutaffifin, aya 23

83:23

عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ٢٣

'Alal-arā'iki yanzurūn

Wakae juu ya viti vya enzi wakiangalia. 23

Maelezo ya chini

23 Juu ya viti vya enzi, wakiziangalia neema na ukarimu alio wakirimu Mwenyezi Mungu.