Surat Al-Mutaffifin, aya 18

83:18

كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡأَبۡرَارِ لَفِي عِلِّيِّينَ ١٨

Kallā inna kitābal-abrāri lafī 'illiyyīn

Hasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin. 18

Maelezo ya chini

18 Ni hakika kuwa vitendo vya watu wema bila ya shaka vimeandikwa katika I'liyyin.