Surat Al-Mutaffifin, aya 17

83:17

ثُمَّ يُقَالُ هَٰذَا ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ١٧

Thumma yuqālu hādhal-ladhī kuntum bihī tukaddhibūn

Kisha waambiwe: Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyakadhabisha. 17

Maelezo ya chini

17 Kisha wataambiwa kwa kuwakebehi: Hii basi ndiyo adhabu inayo kuteremkieni ambayo mlikuwa mkiikanusha duniani!