كَلَّاۖ بَلۡۜ رَانَ عَلَىٰ قُلُوبِهِم مَّا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ١٤
Kallā bal rāna 'alā qulūbihim mā kānū yaksibūn
Hasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao walio kuwa wakiyachuma. 14
Maelezo ya chini
14 Ewe uliye kiuka mipaka! Wacha kauli hiyo potovu. Bali nyoyo za wenye kupindukia mipaka imegubikwa na ukafiri na maasi waliyo yatenda.