Surat Al-Mutaffifin, aya 13

83:13

إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٣

Idhā tutlā 'alayhi āyātunā qāla asātīrul-awwalīn

Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale! 13

Maelezo ya chini

13 Na akisomewa Aya za Mwenyezi Mungu zenye kutaja kuwepo malipo husema: Huo ni uwongo wa walio tangulia!