وَمَا يُكَذِّبُ بِهِۦٓ إِلَّا كُلُّ مُعۡتَدٍ أَثِيمٍ ١٢
Wamā yukaddhibu bihī illā kullu mu'tadin athīm
Wala haikadhibishi ila kila mwenye kuruka mipaka, mwenye dhambi. 12
Maelezo ya chini
12 Na wala haikanushi Siku ya Malipo ila kila mwenye kupindukia mipaka mwingi wa madhambi.