Surat Al-Mursalat, aya 35

77:35

هَٰذَا يَوۡمُ لَا يَنطِقُونَ ٣٥

Hādhā yawmu lā yantiqūn

Hii ni siku ambayo hawatatamka kitu, 35

Maelezo ya chini

35 Haya uliyo simuliwa yatatokea katika siku ambayo hawatatamka kitu cha kuwanufaisha,