Surat Al-Mursalat, aya 34

77:34

وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ٣٤

Waylun yawma'idhil lil-mukaddhibīn

Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha! 34

Maelezo ya chini

34 Wataangamia siku hiyo wanao kanusha kwamba hizi ndizo sifa za Moto.