وَلَا يُؤۡذَنُ لَهُمۡ فَيَعۡتَذِرُونَ ٣٦
Walā yu'dhanu lahum faya'tadhirūn
Wala hawataruhusiwa kutoa udhuru. 36
Maelezo ya chini
36 Wala hawatakuwa na idhini ya kutamka, wala hawatatoa udhuru, kwani hawana udhuru.