Surat Al-Mursalat, aya 23

77:23

فَقَدَرۡنَا فَنِعۡمَ ٱلۡقَٰدِرُونَ ٢٣

Faqadarnā fani'mal-qādirūn

Tukakadiria na Sisi ni wabora wa kukadiria. 23

Maelezo ya chini

23 Nasi tukaweka vipimo katika kuumbwa kwake, na kutengenezwa kwake, na kutoka kwake. Basi wabora wa kupima na kukadiria ni Sisi.