Surat Al-Mu'minun, aya 74

23:74

وَإِنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ عَنِ ٱلصِّرَٰطِ لَنَٰكِبُونَ ٧٤

Wa innal-ladhīna lā yu'minūna bil-ākhirati 'anis-sirāti lanākibūn

Na hakika wale wasio iamini Akhera wanajitenga na Njia hiyo. 74

Maelezo ya chini

74 Na hakika hao wasio iamini Akhera na yalioko huko ya Pepo au Moto wanaiacha Njia Iliyo Nyooka inayo mhifadhi mpitaji wakaishika njia ya ubabaishi na misukosuko na ufisadi.