Surat Al-Mu'minun, aya 73

23:73

وَإِنَّكَ لَتَدۡعُوهُمۡ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ٧٣

Wa innaka latad'ūhum ilā sirātim mustaqīm

Na kwa yakini wewe unawaita kwenye Njia Iliyo Nyooka. 73

Maelezo ya chini

73 Na hakika wewe, ewe Muhammad, hapana shaka yoyote unawaitia Dini ambayo ndiyo Njia Iliyo Nyooka yenye kupelekea Uwokovu.