Surat Al-Ma'idah, aya 70

5:70

لَقَدۡ أَخَذۡنَا مِيثَٰقَ بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ وَأَرۡسَلۡنَآ إِلَيۡهِمۡ رُسُلٗاۖ كُلَّمَا جَآءَهُمۡ رَسُولُۢ بِمَا لَا تَهۡوَىٰٓ أَنفُسُهُمۡ فَرِيقٗا كَذَّبُواْ وَفَرِيقٗا يَقۡتُلُونَ ٧٠

Laqad akhadhnā mīthāqa banī isrā'īla wa arsalnā ilayhim rusulan kullamā jā'ahum rasūlu bimā lā tahwā anfusuhum farīqan kaddhabū wafarīqan yaqtulūn

Tulifanya agano na Wana wa Israili, na tukawatumia Mitume. Kila alipo wajia Mtume kwa wasio yapenda nafsi zao wengine waliwakanusha na wengine wakawauwa. 70

Maelezo ya chini

70 Sisi tuliagana na Mayahudi, Wana wa Israili, kwa agano madhubuti katika Taurati kuwa wafuate hukumu zake. Na tukawapelekea Manabii wengi wawabainishie, na wawatilie mkazo ahadi yetu. Lakini walivunja ahadi.Wakawa kila akiwajia Mtume ambaye hakuwafikiana na matamanio yao, ama walimkanusha au walimuuwa.