Surat Al-Ma'idah, aya 58

5:58

وَإِذَا نَادَيۡتُمۡ إِلَى ٱلصَّلَوٰةِ ٱتَّخَذُوهَا هُزُوٗا وَلَعِبٗاۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَعۡقِلُونَ ٥٨

Wa idhā nādaytum ilas-salawātit-takhadhūhā huzuwan wala'iban dhālika bi annahum qawmul lā ya'qilūn

Na mnapo adhinia Swala wao wanaichukulia maskhara na mchezo. Hayo ni kwa sababu wao ni watu wasio na akili. 58

Maelezo ya chini

58 Na katika kejeli zao kukufanyieni ni vile pale mnapo ita kwenda kuswali katika adhana, wao huifanyia maskhara Swala yenu, na hukuchekeni, wakafanya ni mchezo. Na hayo ni kwa sababu kuwa wao ni kaumu wasio na akili, wala hawatambui farka iliopo baina ya upotofu na uwongofu.