Surat Al-Ma'idah, aya 59

5:59

قُلۡ يَٰٓأَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ هَلۡ تَنقِمُونَ مِنَّآ إِلَّآ أَنۡ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَمَآ أُنزِلَ إِلَيۡنَا وَمَآ أُنزِلَ مِن قَبۡلُ وَأَنَّ أَكۡثَرَكُمۡ فَٰسِقُونَ ٥٩

Qul yā'ahlal-kitābi hal tanqimūna minnā illā an āmannā billāhi wamā unzila ilaynā wamā unzila min qablu wa anna aktharakum fāsiqūn

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? 59

Maelezo ya chini

59 Sema ewe Mtume! Enyi Watu wa Kitbu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tunamuamini Mwenyezi Mungu na tunaamini tuliyo teremshiwa sisi, nayo ni Qur'ani, na Vitabu vilio sahihi vilio teremshiwa Manabii wa zamani, na kwa kuwa tunaamini kuwa wengi wenu mmeitupa Sharia ya Mwenyezi Mungu?