قَالَ لَا تُؤَاخِذۡنِي بِمَا نَسِيتُ وَلَا تُرۡهِقۡنِي مِنۡ أَمۡرِي عُسۡرٗا ٧٣
Qāla lā tu'ākhidhnī bimā nasītu walā turhiqnī min amrī 'usrā
(Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu. 73
Maelezo ya chini
73 Musa akamwambia: Usinichukulie kwa kusahau wasia wako, wala usinikutishe Mashaka katika kutafuta ilimu kwako na ukaifanya hiyo kazi nzito