Surat Al-Kahf, aya 72

18:72

قَالَ أَلَمۡ أَقُلۡ إِنَّكَ لَن تَسۡتَطِيعَ مَعِيَ صَبۡرٗا ٧٢

Qāla alam aqul innaka lan tastatī'a ma'iya sabrā

Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami? 72

Maelezo ya chini

72 Yule mja mwema akasema: Mimi nilikwisha kwambia kuwa hakika wewe hutoweza kusubiri kuwa nami.