فَوَجَدَا عَبۡدٗا مِّنۡ عِبَادِنَآ ءَاتَيۡنَٰهُ رَحۡمَةٗ مِّنۡ عِندِنَا وَعَلَّمۡنَٰهُ مِن لَّدُنَّا عِلۡمٗا ٦٥
Fawajadā 'abdam min 'ibādinā ātaynāhu rahmatam min 'indinā wa'allamnāhu mil ladunnā 'ilmā
Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu. 65
Maelezo ya chini
65 Mpaka wakafika kwenye lile jabali. Hapo wakamkuta mja miongoni mwa waja wangu walio wema, tuliye mpa hikima, na tukampa ujuzi mwingi kutokana kwetu.