قَالَ لَهُۥ مُوسَىٰ هَلۡ أَتَّبِعُكَ عَلَىٰٓ أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمۡتَ رُشۡدٗا ٦٦
Qāla lahū mūsā hal attabi'uka 'alā an tu'allimani mimmā 'ullimta rushdā
Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe? 66
Maelezo ya chini
66 Musa akamwambia yule mja mwema: Je nende nawe upate kunifunza nami aliyo kufunza Mwenyezi Mungu?