Surat Al-Kahf, aya 51

18:51

۞ مَّآ أَشۡهَدتُّهُمۡ خَلۡقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَلَا خَلۡقَ أَنفُسِهِمۡ وَمَا كُنتُ مُتَّخِذَ ٱلۡمُضِلِّينَ عَضُدٗا ٥١

Mmā ashhattuhum khalqas-samāwāti wal-ardi walā khalqa anfusihim wamā kuntu muttakhidhal-mudillīna 'adudā

Sikuwashuhudisha kuumbwa kwa mbingu na ardhi, wala kuumbwa kwa nafsi zao. Wala sikuwafanya wapotezao kuwa ni wasaidizi. 51

Maelezo ya chini

51 Mimi sikumwonyesha Iblisi wala dhuriya zake nilipo umba mbingu wala ardhi, wala sikuwashuhudisha baadhi yao nilipo waumba wenzao ili wanisaidie. Wala sikuwa nina haja ya msaidizi wowote, licha kuwa nikatafute wapotovu ndio wawe wasaidizi wangu. Basi yawaje mnakwenda mt'ii Shetani na mkaniasi Mimi?