Surat Al-Jinn, aya 16

72:16

وَأَلَّوِ ٱسۡتَقَٰمُواْ عَلَى ٱلطَّرِيقَةِ لَأَسۡقَيۡنَٰهُم مَّآءً غَدَقٗا ١٦

Wa allawistaqāmū 'alat-tarīqati la asqaynāhum mā'an ghadaqā

Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi, 16

Maelezo ya chini

16 Na hakika lau kuwa watu na majini wakifuata Njia ya Uislamu, wala wasende upogo wakaiwacha, basi bila ya shaka tutawanywesha maji mengi yatakayo enea nyakati za haja.