وَأَمَّا ٱلۡقَٰسِطُونَ فَكَانُواْ لِجَهَنَّمَ حَطَبٗا ١٥
Wa ammal-qāsitūna fakānū lijahannama hatabā
Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu. 15
Maelezo ya chini
15 Ama majeuri walio iacha njia ya Uislamu basi hao watakuwa ndio kuni za Jahannamu.