Surat Al-Isra, aya 35

17:35

وَأَوۡفُواْ ٱلۡكَيۡلَ إِذَا كِلۡتُمۡ وَزِنُواْ بِٱلۡقِسۡطَاسِ ٱلۡمُسۡتَقِيمِۚ ذَٰلِكَ خَيۡرٞ وَأَحۡسَنُ تَأۡوِيلٗا ٣٥

Wa awful-kayla idhā kiltum wazinū bil-qistāsil-mustaqīmi dhālika khayrun wa ahsanu ta'wīlā

Na timizeni kipimo mpimapo. Na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo ni wema kwenu na khatimaye ndio bora. 35

Maelezo ya chini

35 Na mnapo mpimia mushtiri mpimieni vilivyo, na pimeni mizani kwa uadilifu. Kwani kuweka sawa vipimo na mizani ni bora kwenu kwa hapa duniani, kwa sababu huwaraghibisha watu kufanya nanyi biashara. Na malipo mazuri zaidi ni ya Akhera.