Surat Al-Inshiqaq, aya 9

84:9

وَيَنقَلِبُ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِۦ مَسۡرُورٗا ٩

Wayanqalibu ilā ahlihī masrūrā

Na arudi kwa ahali zake na furaha. 9

Maelezo ya chini

9 Na atarejea kwa jamaa zake Waumini naye furahani.