Surat Al-Inshiqaq, aya 10

84:10

وَأَمَّا مَنۡ أُوتِيَ كِتَٰبَهُۥ وَرَآءَ ظَهۡرِهِۦ ١٠

Wa ammā man ūtiya kitābahū warā'a zahrih

Na ama atakaye pewa daftari lake kwa nyuma ya mgongo wake, 10

Maelezo ya chini

10 Ama mwenye kupewa daftari lake kwa mkono wa kushoto wake nyuma ya mgongo wake kwa kudharauliwa shani yake,