Surat Al-Inshiqaq, aya 2

84:2

وَأَذِنَتۡ لِرَبِّهَا وَحُقَّتۡ ٢

Wa adhinat lirabbihā wahuqqat

Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza! 2

Maelezo ya chini

2 Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi na ikamt'ii, na ndio maelekeo yake isikie na kut'ii,