فَمَا لَهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ٢٠
Famā lahum lā yu'minūn
Basi wana nini hawaamini? 20
Maelezo ya chini
20 Wana nini hawa makafiri yanayo wazuia wasimuamini Mwenyezi Mungu na kufufuliwa baada ya kuwekwa wazi dalili zake zote za kuwajibika kwake?